Kimann

Kimann

Kimann ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Liberia na Guinea inayozungumzwa na Wamann. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kimann nchini Liberia imehesabiwa kuwa watu 188,000. Pia kuna wasemaji 71,000 nchini Guinea. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimann iko katika kundi la Kimande.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search